Karibu Mecco TV – chaneli yako pendwa kwa Habari, Burudani, Muziki na Michezo! Tunakuletea maudhui halisi, ya kuelimisha na kufurahisha kila siku. Jiunge nasi kwa safari ya maarifa na furaha, moja kwa moja kutoka kwa jamii na kwa ajili ya jamii.
Kauli mbiu:Sauti ya Wakati Wako