Haki Kwa Dalili

Channel rasmi ya Mwanaharakati wa Kiislamu kupitia chuo cha Ahalul-Haqi Wal-Istiqamah (Ibadhi) katika kuielimisha jamii mafundisho bora ya Uislamu kwa mujibu wa Qur-ani tukufu, na Sunna ya Mtume (s.a.w).