KASEME TENA REMIX_KAA FEEL FEAT. WATUNZA MISINGI (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео KASEME TENA REMIX_KAA FEEL FEAT. WATUNZA MISINGI (OFFICIAL VIDEO)

Hii ni bonus ya mradi uitwao DAMU wa Kiraka KAA FEEL ambao umeachiwa rasmi tarehe 28.01.2023.

Huu wimbo ni mahususi kwa wote wanaochunguza mitindo ya maisha binafsi ya watu badala ya kufuatilia sanaa ilihali wanasingizia wao pia wanaupenda na kuuelewa utamaduni wa HIP HOP.

Furahia Mzuka ✊🏿

Shot & Edited by Nakam69

#WatunzaMisingi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке