WAKO WAPI TAHAMAKI CREW: Kutana na wachekezaji wa Kipindi cha Tahamaki

Описание к видео WAKO WAPI TAHAMAKI CREW: Kutana na wachekezaji wa Kipindi cha Tahamaki

Waliokuweko miaka ya themanini na tisini watavuta kumbukizi vyema na kuuukumbuka mchezo wa kuigiza wa tahamaki na vile vile wa mahoka katika runinga ya K.B.C.waanzilishi hawa wa vichekesho walikuja kutoweka bila kuwaaga wafuasi na mashabiki wao.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке