Jinsi ya Kupika Visheti /Vishete / Vitamu Sana / Mapishi ya Vishete /Tajiri's kitchen

Описание к видео Jinsi ya Kupika Visheti /Vishete / Vitamu Sana / Mapishi ya Vishete /Tajiri's kitchen

MAHITAJI:
Unga wa ngano vikombe 4
Maziwa kikombe na nusu
Yai moja
Chumvi robo kijiko
Baking powder kijiko cha mezani
Iliki kijiko cha chai

SHIRA:
Sukari kikombe 1
Maji kikombe 1
Iliki kijiko cha chai 1

RECIPE ZENGINE KAMA HIZI:

Kaimati za shira ya Nnje:    • Kaimati /Jinsi ya Kupika Kalmati za S...  

Mitai:    • Mitai /Jinsi ya Kupika Mitai Milaini ...  

Kaimati za shira ya Ndani:    • Kaimati /Luqaimat (Sweet Dumplings) J...  

FACEBOOK : TAJIRI'S KITCHEN -   / tajiris-kitchen-100334064680293  

INSTAGRAM : TAJIRI'S KITCHEN - https://instagram.com/tajiris_kitchen...

#vishete #mapishiyakiswahili #tajiriskitchen #visheti

Комментарии

Информация по комментариям в разработке