Soggy Doggy: Je shilingi milioni 700 walizoshinda za wimbo wa ‘sikutaki tena’ wamelipwa?

Описание к видео Soggy Doggy: Je shilingi milioni 700 walizoshinda za wimbo wa ‘sikutaki tena’ wamelipwa?

Anselm Tryphone Ngaiza maarufu kama Soggy Doggy Anter @soggydoggyanter ni msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Tanzania ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama Kibanda cha simu, Nilikaona mwaka jana na nyingine nyingi.

Soggy ambaye pia hujulikana kama Chief Rumanyika atazunguma na @rmziwanda_official katika nyota wa Afrika mashariki.


#bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #hiphop

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке