HUWEZI CHEZA RITUNGU BILA SHINGO IMARA

Описание к видео HUWEZI CHEZA RITUNGU BILA SHINGO IMARA

HUWEZI CHEZA RITUNGU BILA SHINGO IMARA

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Ngoma ya Asili ya Kabila la Wakurya (Ritungu) ambayo imekuwa kivutio kwa wageni wa Mkoa wa Mara kutokana na uchezwaji wake wa kurusha kichwa ikisindikizwa kwa zeze na manyanga ya asili.

Tazama Video Hii Jinsi Wanavyocheza

Комментарии

Информация по комментариям в разработке