NYEGEZI SDA CHOIR - NI JAMBO JEMA

Описание к видео NYEGEZI SDA CHOIR - NI JAMBO JEMA

Ni Jambo jema tena la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja tena kwa umoja, huu ndio wito wa Bwana wetu Yesu kristo akitukumbusha kudumu katika umoja tukiujenga mwili wake (kanisa)

Yohana 17:21
Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.

Nyegezi SDA Choir tunakukumbusha kufanya sehemu yako katika kuulinda umoja wa kanisa na kudumu katika Pendo la kristo.

Barikiwa unafuatilia wimbo huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке