#MsumariWaMoto

Описание к видео #MsumariWaMoto

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ndiye amesimama katika Msumari Wa Moto wiki hii. Amefunguka mengi kuhusu hali ya chama hicho Bara na Visiwani, hali ya kisiasa nchini na hata matarajio ya ushirikiano wa vyama vya upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Nchi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке