Jinsi ya Kupika Mboga ya Majani ya Maharage ya karanga,Dagaa na Ugali.

Описание к видео Jinsi ya Kupika Mboga ya Majani ya Maharage ya karanga,Dagaa na Ugali.

Hello wapenzi habari zenu karibuni katika channel yangu,leo napenda ku share nanyi Jinsi nilivyopika chakula changu Cha mchana ambacho kilikua ni mboga ya Majani ya Maharage pamoja na Dagaa ambayo nilikula kwa Ugali ni tamu sana kwa yeyote atakayevutiwa na pishi hili akajaribu atapenda sana.
Asanteni kwa kuangalia videos zangu naomba muendelee na nitajitahidi kuwaletea video tofauti tofauti ili msiboreke ambazo zitawafanya mburudike na pia kujifunza mawili matatu..

Tafadhari naomba msisahau ku like,ku share,ku comment na ku subscribe.

MAHITAJI
Majani ya Maharage
Kitunguu
Karoti
chumvi

MAHITAJI YA DAGAA
Dagaa nusu
Kitunguu swaum
Kitunguu maji
Tangawizi
Biringanya
Karoti
Nyanya chungu
Bamia
Chumvi


#mapishiyakiswahili #mapishirahisi #foodlover #food #easyrecipe #tanzanianyoutuber #africanfood #dagaa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке