Dk Bashiru aibua shangwe Bungeni, amtaja Magufuli akieleza UDSM kilivyotoa viongozi wakubwa Afrika

Описание к видео Dk Bashiru aibua shangwe Bungeni, amtaja Magufuli akieleza UDSM kilivyotoa viongozi wakubwa Afrika

Mbunge wa Kuteuliwa, Dk Bashiru Kakurwa ameibua shangwe miongoni mwa wabunge baada ya kueleza jinsi ambavyo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekuwa na mchango mkubwa kwenye maendeleo ya sekta ya elimu ikiwemo kuzalisha viongozi wakubwa akiwemo Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson, Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Hayari Rais John Garang aliyekuwa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na Hayati Dk John Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.

Dk Bashiru ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 8, 2024.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке