ZOEZI LA KUWAONDOA WAVAMIZI WA MISITU NA WAKULIMA WA BANGI KWENYE MISITU TANGANYIKA LAPAMBA MOTO

Описание к видео ZOEZI LA KUWAONDOA WAVAMIZI WA MISITU NA WAKULIMA WA BANGI KWENYE MISITU TANGANYIKA LAPAMBA MOTO

Timu ya doria ya misitu kwa kushirikiana na Village Guard Scouts (VGS) wanaendelea na zoezi la kuwaondoa wavamizi wa misitu katika vijiji nane vinavyonufaika na Biashara ya Kaboni.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке