Wakulima wa Tezo kaunti ya Kilifi wang'oa mibuyu mashambani

Описание к видео Wakulima wa Tezo kaunti ya Kilifi wang'oa mibuyu mashambani

Wakazi wa Tezo kaunti ya Kilifi wameamua kung'oa mibuyu wanayosema imetatiza kilimo katika eneo hilo. Kulingana nao, mibuyu hutumia maji mengi na hivyo kuathiri mazao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке