Watu 13 wamefariki kwenye ajali ya barabarani Nakuru

Описание к видео Watu 13 wamefariki kwenye ajali ya barabarani Nakuru

Watu Kumi Na watatu wamefariki Na wengine hamsini Na watano wakiuguza majeraha tofauti hospitalini kufuatia ajali YA barabarani eneo la Migaa kwenye barabara ya Nakuru Kuelekea Eldoret mapema Leo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке