Mbunge Ndaki alia na sheria ya kukazia hukumu kuwanyima haki wanaoshinda kesi mahakamani

Описание к видео Mbunge Ndaki alia na sheria ya kukazia hukumu kuwanyima haki wanaoshinda kesi mahakamani

Mbunge wa Maswa Magharibi (CCM), Mashimba Ndaki amesema suala la kukazia hukumu baada ya mtu kushinda kesi mahakamani linawanyima haki watu wengi kutokana na taratibu zake kuchukua muda mrefu na gharama nyingine nyingi, ambazo wananchi wengi wanashindwa kuzimudu hivyo kupoteza haki zao.

Ndaki amesema hayo leo Jumatatu ya Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке