Jinsi ya kupika half cakes za kupasuka

Описание к видео Jinsi ya kupika half cakes za kupasuka

Ingredients
2 1/2 cups all all purpose flour
1/2 cup sugar
1/2 tsp salt
1 tbsp oil
1 tbsp butter / margarine
1 tsp b.powder
1/2 tsp b.soda
1 tsp vanilla essence
1 n half cups water or whole milk for kneading
_________________
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 2 na nusu mpaka 3
Sukari nusu kikombe
Chumvi kidogo
Mafuta ya kupikia kjk 1 cha kula
Siagi kjk 1 cha kula
Baking powder kjk 1 kidogo
Baking soda nusu kjk kidogo
Arki ya vanilla kjk 1 kidogo
Maji au maziwa ya maji kikombe 1 na nusu ya kukandia.

__________________
instagram; jifunze_mapishi & shunaskitchen
blog; https://www.shunaskitchen.com

Комментарии

Информация по комментариям в разработке