Riwaya za uwongo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi

Описание к видео Riwaya za uwongo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi

Chuki dhidi ya Wayahudi huja katika sura na vipengele vingi tofauti. Wakati mwingine, inaweza hata kuwa vigumu kutambua visa vya chuki dhidi ya Wayahudi. Unaweza kusema maneno ya chuki bila hata ya kujua. Kwa mfano, ukosoaji halali wa sera za Israel unaishia wapi na chuki dhidi ya Wayahudi inaanzia wapi? Chimbuko la chuki dhidi ya Wayahudi ambayo mpaka leo inaenea iliianzia wapi? Wacha tuangazie riwaya za uwongo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке