MIILI YA MAMA NA BINTIYE WALIOBAKWA YASAFIRISHWA, MAJIRANI WAFUNGUKA ' TUMESHUHUDIA DAMU, TUTUBUU'

Описание к видео MIILI YA MAMA NA BINTIYE WALIOBAKWA YASAFIRISHWA, MAJIRANI WAFUNGUKA ' TUMESHUHUDIA DAMU, TUTUBUU'

Miili ya mama Mwamvita Mwakibasi (33) na mtoto wake Salma Ramadhan(13), imesafirishwa leo Septemba 7,2024 kwenda Kiteto mkoani Manyara kwa ajili ya maziko.
Wawili hao waliuawa usiku wa kumkia jana na watu wasiojulikana nyumbani kwao baada ya kubakwa.

Akizungumzia tukio hilo, Diwani wa Mkonze, David Bochela amewataka wananchi wote kuwa watulivu katika kipindi hichi kigumu na kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha kuwa mitaa yao inakuwa na usalama.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке