Achari ya Biringanya na Nyanya chungu! Rahisi sana kuandaa na Taamu. Vipimo-Discription box

Описание к видео Achari ya Biringanya na Nyanya chungu! Rahisi sana kuandaa na Taamu. Vipimo-Discription box

INGREDIENTS.
Biringanya 1 - Toa Mbegu zote.
Nyanya Chungu 4 - Menya maganda
Pilipili ( Nimetulia Green Chili 🌶 5
Nyanya 3 kubwa
kitunguu kimoja cha size
swaumu 1tbsp
Manjano 1tsp
Curry Powder 1tsp
Binzari nyembamba 1tsp
chumvi 1tsp
vinegar 1tbsp
mafuta 1/2 a cup

Комментарии

Информация по комментариям в разработке