BBC News Swahili

Описание к видео BBC News Swahili

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alivywasili nchini Tanzania, tayari kwa kuanza ziara yake ya siku tatu nchini humo.
-
Ziara hii ya kiserikali ya siku tatu inatokana na mwaliko wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati walipokutana jijini Washington mwaka 2022, ikitajwa pamoja na mambo mengine kuwa ni kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, sambamba na kuzungumzia maendeleo ya uchumi, mabadiliko ya tabia nchi.

Ziara yake imeanzia Ghana, Tanzania na kisha atamalizia Zambia.

🎥: Nicholaus Mtenga

#bbcswahili #Tanzania #kamalaharris

Комментарии

Информация по комментариям в разработке