Mwigulu Nchemba: Tunakopa Sababu Sisi Ni Matajiri

Описание к видео Mwigulu Nchemba: Tunakopa Sababu Sisi Ni Matajiri

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema kwamba Serikali ya Tanzania inakopa si kwa sababu ni maskini bali ni tajiri, inakopesheka na inao uwezo wa kulipa.

Akitoa mrejesho wa mjadala wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 Mwigulu amesema kuwa Serikali inakopa kwa ajili ya kufanya shughuli za maendeleo na sio kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке