ZANZIBAR ALL STARS MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR (Official VIDEO)

Описание к видео ZANZIBAR ALL STARS MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR (Official VIDEO)

#zanzibarmusic #tanzaniamusic #bongoflava #ZANZIBAR #TANZANIA
Wimbo maalum wa miaka sitini ya mapinduzi matukufu ya ZANZIBAR
Wimbo huu umeimbwa na wasanii maarufu wa zanzibar kutoka katika vikundi mbali mbali vya muziki wa taarabu, ngoma asilia na muziki wa kizazi kipya, Wimbo huu umewekwa yuotube katika acount ya Rico Single kwa Ruhusa ya Idara ya Utamaduni ZANZIBAR ambao ndio wamiliki wa Wimbo Huu. Tafadhali sikiliza wimbo huu mzuri na ufurahie AHSANTE.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке