MAISHA YA ULAYA , EXPERIENCE NA CHANGAMOTO | O & A | MASWALI KUTOKA KWA SIMPLY MAGGEH

Описание к видео MAISHA YA ULAYA , EXPERIENCE NA CHANGAMOTO | O & A | MASWALI KUTOKA KWA SIMPLY MAGGEH

Habari Wapendwa Leo tuna Video ya tofauti ni collaboration na youtuber mwingine anaitwa Simply Maggeh ataniuliza maswali kuhusiana na maisha yangu ya hapa uholanzi na mengine utapata kuyafahamu experience na chanagamoto nazokutana nazo ulaya .karibu sana kutazama hii video hadi mwisho na usisite kuacha comment yako hapo chini pia Bonyeza SUBSCRIBE BUTTON kisha alama ya kengele ili kupata Notification itakayokujulisha kila Mara nitakapokuwa nimeweka video mpya. Asanteni


Pia unaweza kunifollow Instagram @kibout_tv
Kwa maswali, ushauri, ideas za video au Sponsorship pls nitumie email kupitia [email protected]
#maishayaulaya #firsttimeinholland



Simply Maggeh Channel    / @maggehnew9729  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке