MBWIGA AINGILIA SAKATA LA MANARA, MWANDISHI

Описание к видео MBWIGA AINGILIA SAKATA LA MANARA, MWANDISHI

Kuelekea mechi ya Simba na Yanga tayari mambo yameanza kukolea, presha imeanza kuwa kubwa. Haji Manara ambaye ni Ofisa Habari wa Simba amejikuta akimtolea povu mwandishi wa habari hadharani, Mbwiga wa Mbwiguke hajaiacha ipite hivi hivi, huyu hapa mtazame.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке