HUYU NDIYE MATILDA S. MUKASA - MTUNZI, MWALIMU WA KWAYA NA MPIGA VYOMBO (NGOMA, KAYAMBA, VIDUFU N.K)

Описание к видео HUYU NDIYE MATILDA S. MUKASA - MTUNZI, MWALIMU WA KWAYA NA MPIGA VYOMBO (NGOMA, KAYAMBA, VIDUFU N.K)

Matilda S. Mukasa ni mama wa watoto wanne (Mama QUADRI - V)
Ni mwalimu wa kwaya na mwalimu wa Sekondari ya Makoka iliyopo mkoani Dar es Salaam, ni mpiga vyombo vya muziki Mtakatifu.

Ni mtunzi anayependa kutunga nyimbo fupifupi hasa nyimbo za Zaburi (Wimbo wa Katikati)



Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019

Комментарии

Информация по комментариям в разработке