Jinsi ya kupika chapati laini kwa muda mfupi

Описание к видео Jinsi ya kupika chapati laini kwa muda mfupi

Mapishi ya chapati kwa urahisi sana

Mahitaji
Unga vikombe 4
Maziwa kikombe 1
Maji nusu kikombe
Siagi kijiko 1 cha chakula kwa kukandia
Chumvi kijiko 1 cha chai
Sukari kijiko 1 cha chai (si lazima)

Kukunja tabaki
Changanya siagi uloyeyusha na mafuta ya kupikia

Kuchoma
Tumia mafuta ya kupikia pekee

Chapati nilipata 8

Комментарии

Информация по комментариям в разработке