MIAKA 58 YA UHURU: Alichokisema Freeman Mbowe mbele ya Rais Magufuli

Описание к видео MIAKA 58 YA UHURU: Alichokisema Freeman Mbowe mbele ya Rais Magufuli

“Nimekuja kushiriki sherehe za miaka 58 ya #Uhuru kama uthibitisho wa ulazima wa kuwepo maridhiano, kuwepo upendo, kuwepo mshikamano katika taifa letu…na namuomba Mungu siku ya leo ikafungue milango tuweze kuishi kama taifa linalopendana,” – Freeman Mbowe.

#IndependenceDay

Комментарии

Информация по комментариям в разработке