Mechi ya Simba dhidi ya Al-Ahli Tripoli Mgeni rasmi ni Kagoma

Описание к видео Mechi ya Simba dhidi ya Al-Ahli Tripoli Mgeni rasmi ni Kagoma

Mgeni rasmi wa mchezo baina ya simba na Al Ahli Tripoli kutokea libiya ni Yusuph Kagoma ambaye ni mchezaji wa Simba amejiunga na simba msimu huu wa mashindano.

Unaweza kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii pale Instagram pamoja na facebook kwa kuandika Mauyatv online kwa taarifa zaidi , Makala , Habari na Matukio mbali mbali ya Kijamii ndani ya Mauyatv

Комментарии

Информация по комментариям в разработке