Ally Kamwe atamba: "Yanga tunauhudumia mpira wa Afrika"

Описание к видео Ally Kamwe atamba: "Yanga tunauhudumia mpira wa Afrika"

“…tumetoa wachezaji 14….hii inaonesha kwamba tunauhudumia mpira wa Afrika sasa hivi”

– Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe anauliza…Je, kuna timu gani imewahi kutoa wachezaji wengi kwenda kwenye timu zao taifa kwa wakati mmoja kama ilivyofanya Yanga wakati huu???

Kamwe pia anaeleza mipango ya timu kwa kipindi hiki ambacho ligi imesimama huku akiweka wazi kuwa watakuwa na mchezo wa kirafiki kama sehemu ya maandalizi kuiwinda CBE ya Ethiopia, lakini “…utakuwa ni mchezo wa ndani”.

#YangaSC #AllyKamwe

Комментарии

Информация по комментариям в разработке