DUNIA ...... Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga

Описание к видео DUNIA ...... Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga

Wimbo mzuri kutoka Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga. Wimbo huu unaeleza jinsi dunia ilivyoharibika kutokana na matendo mbalimbali ya wanadamu. Yesu Kristo ndiye mwenye mamlaka ya kutusaidia. Mungu akubariki unapotazama na kusikiliza wimbo huu. Usisahau kubonyeza SUBSCRIBE ili usipitwe na matoleo yetu mengine.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке