ANDROID STUDIO KWA KISWAHILI PART 1

Описание к видео ANDROID STUDIO KWA KISWAHILI PART 1

Karibu katka darasa langu,tujifunze kutengeneza application za simu kwa kutumia program ya android studio kwa njia rahisi zaidi ya liugha ya kiswahii,Lengo kubwa y video hizi ninazo zitengeneza ni kufanya uweze kujijua program ya android studio kiurahisi zaidi ya unavofikiri,Watu wengi wanasema android ni ngumu lakini kwangu nataka tuondokane na nadharia hizo ,Vitu muhimu vya kujua katika android studio ni ,android studio inatumia lugha ghani ,1 ni java 2 ni koltin kingine ni xml kwa udogo zaidi hapa katika video hizi tutatumia java,Karibu uungane nami katika safari hii ya mafunzo ya android usisahau kusubscribe ili upate notfication haraka ninapokua natoa video nyingine,Wasilina nami Kupitia Simu No 0622144076
#androidappdevelopment
#coding
#programming
#python
#software
#mobileapp #androidprogram #code #androidstudio

Комментарии

Информация по комментариям в разработке