Ngoma ya asili bakanchape nyarugusu camp ( sherehe ya mtoto wa dawa )

Описание к видео Ngoma ya asili bakanchape nyarugusu camp ( sherehe ya mtoto wa dawa )

iii nisherehe bora sana kufanyika apa nyarugusu

ni ngoma ya asili ya babondo kutoka nyarugusu camp ijulikanayo kama bakanchape

iii inafanyika bsada ya miezi sita ila kama ni emergency ndo wanaweza piga kewa siku zinazo fatana


#nyarugususherehe
#sherehe_nyarugusu_camp
#bakanchape

Комментарии

Информация по комментариям в разработке