AICT KISESA CHOIR-KUSUDI LA MUNGU.... ALBUM TEASER

Описание к видео AICT KISESA CHOIR-KUSUDI LA MUNGU.... ALBUM TEASER

#KUSUDILAMUNGU
AICT KISESA CHOIR KUTOKA MWANZA TANZANIA
tunatarajia kuzindua album yetu inayoenda kwajina la #KUSUDILAMUNGU itakayo zinduliwa tarehe 1/4/2024 kuanzia Saa 4:00 asubuhi katika kanisa la AICT KISESA mwanza Tanzania
nyote mnakaribishwa tuujenge ufalme wa Mungu pamoja

kazi hii imefanyika
AUDIO-LMJ
VIDEO-LMJ

Комментарии

Информация по комментариям в разработке