SIASA ZA UPINZANI Ep 01

Описание к видео SIASA ZA UPINZANI Ep 01

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo

SIASA ZA TANZANIA
Neno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali.

Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha.

Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa na uzoefu wa jinsi siasa zinavyo fanya kazi Tanzania.

Tukutane Juni 5, ikiwa ni muendelezo wa maudhui ya #SautiZao yanayolenga kuchochea, kukuza na kulinda sauti za vijana na wanawake kwenye mijadala ya kiraia mtandaoni.


#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo

Credits
1. Executive Producer & Director: Carol Ndosi
2. Director of Production: Calvin Kulaya
3. Produced by: 123 Productions in Partnership with LP Digital
4. Host: Roman Shirima
5. Guest 1: Salumu Awadhi - Mtaalamu wa Fedha
6. Guest 2: Wilhem Ngasamyaku - Mhadhiri wa Uchumi (UDSM)
7. Cameraman: Silvester Kikoti, Zachary Mchunguzi & George Mhamiji
8. Photographer: Given Mgogosi
9. Editor: Sylivester Kikoti
10. Sound: Zachary Mchunguzi & Tipa Tone
11. Graphics: Halifa Halifa & Philemon Lusama
12. Coordinators: Samwel Henry & Warda Hemed Mansour
13. Logistics: Abdallah Ayoub
14. Set: Kika Art of Design
15. Social Media Manager: Warda Hemed Mansor

Комментарии

Информация по комментариям в разработке