VIJANA WAKIJARIBU KUPASHA MWILI ILI KUUANDAA KWA AJILI YA KUMITE YA KIBABE NDANI YA THE SHOKA TEAM

Описание к видео VIJANA WAKIJARIBU KUPASHA MWILI ILI KUUANDAA KWA AJILI YA KUMITE YA KIBABE NDANI YA THE SHOKA TEAM

hollarhollahTHE SHOKA TEAM NI DOJO AU CLUB YA SANAA ZA MAPIGANO MBALI MBALI IKIWAMO SHOTOKAN KARATE

THE SHOKA TEAM INAPENDA KUWAKARIBISHA WALE WOTE WENYE UHITAJI WA HII SANAA YA MAPIGANO DOJO LINATOA MAFUNZO YA PAMOJA GROUP TRAINNING NA MAFUNZO YA MMOJA MMOJA INDIVIDUAL OR SELF TRAINNING WAKUBWA KWA WADOGO

DOJO INAPATIKANA MBAGALA KIPATI NJIA YA KWENDA KWAMANGAYA NA NAMBA ZETU NI 0654689922 AU 0785162604

KARIBUNI SANA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке