Je! Ulishawahi Kuona Soda Ikitengenezwa? TAZAMA HAPA

Описание к видео Je! Ulishawahi Kuona Soda Ikitengenezwa? TAZAMA HAPA

#JAMBOFOODPRODUCT

Je! Ulishawahi Kuona Soda Ikitengezwa? TAZAMA HAPA

Katika kuunga mkono harakati za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kuendeleza uchumi wa viwanda, kupitia kipindi cha uchumi wa viwanda, Global TV imefunga safari mpaka mkoa wa Shinyanga katika kiwanda cha Jmbo Food Product.

Kiwanda hiki ambacho kinaongoza kanda ya nzima ya ziwa kwa ukubwa na ubora wa bidhaa wanazozalisha lakini pia ubora wa aina za mashine na mitambo ya kisasa.

Kwa upande wa Kanda ya ziwa kiwanda cha Jambo Food Products ndicho kinachoongoza kwa ukubwa na kuwa na wafanyakazi wachache ukiachilia mbali mitambo na mashine za kisasa walizonazo, kwa asilimia kubwa mashine ndizo zinafanya kazi sana na kuzalisha bidhaa za vinywaji baridi zaidi ya aina 12.

inawezekana unatamani kuwa wakala wa bidhaa zao kwa ndani na nje ya nchi basi wasiliana nao kwa namba hizi
0766444445 au 0715757552
bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1    / uwazi1   WEBSITE:

https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке