IBADA YA JUMAPILI SEPTEMBER 8, 2024

Описание к видео IBADA YA JUMAPILI SEPTEMBER 8, 2024

Mpendwa mtu wa Mungu, tafadhali ungana nasi kusikiliza neno la Mungu mubashara kutoka hapa kanisani TAG-City Light Temple lililopo Goba, Matosa, Dar es Salaam

Tunazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa mema na makuu aliyotutendea mwaka wote huu. Asante sana kwa kujumuika nasi. Mualike na mwingine hapa na ndelea kufuatilia mafundisho mubashara.

Ikiwa ungependa kumtolea Mungu sadaka na ZAKA, basi tumia namba zifuatazo;

VODACOM LIPA NAMBA
5201833
SADAKA TAG CITY LIGHT TEMPLE

au

BENKI YA CRDB
ACCOUNT NAMBA 133704447900
Jina la Account - TAG CITY LIGHT TEMPLE

USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-SHARE HABARI HIZI NJEMA

#CLT #SEMINA#NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG
Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEMPLE-CLT

Комментарии

Информация по комментариям в разработке