🔴LIVE:ALLY KAMWE "FEI TOTO HAWEZI KUCHEZA NA DEBORA SIMBA/CHAMA TUMEMPA ULINZI MKUBWA/HATUOKOTIOKOTI

Описание к видео 🔴LIVE:ALLY KAMWE "FEI TOTO HAWEZI KUCHEZA NA DEBORA SIMBA/CHAMA TUMEMPA ULINZI MKUBWA/HATUOKOTIOKOTI

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Vyombo vya habari,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya

Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке