FEROOZ - Full Interview na Bongo Project

Описание к видео FEROOZ - Full Interview na Bongo Project

Ferooz anakuwa msanii wa pili kwenye mfululizo wa vipindi vya Bongo Project. Katika interview hii ndefu Ferooz anaelezea juu ya maisha yake ya utotoni, shule, malezi na kuanza kuupenda muziki. Anawataja watu mbalimbali waliomuwezesha kufika hapa na pia anasimulia visa na mikasa kwenye maisha yake ya muziki. Kuna vingi hujui kwenye safari ya muziki na maisha ya msanii Ferooz. Angalia na Sikiliza hapa.

#ferooz #feruzi #bongofleva #daznundaz #bongoproject

Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-projec.  .

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке