Sanga Umukiza_The Clarion Call Ministry_Official Video 2023

Описание к видео Sanga Umukiza_The Clarion Call Ministry_Official Video 2023

#Gumakurugambaalbum #0780602404

Written & composed : Izabayo Olivier
Instrumental: Mpano Elyseé
Audio Producer: Joseph (Makarios Studio)
Video Director : Two O'clock
Camera 🎥: Oasis Mucyo Pro

If you want to support the ministry,….you may use this number +250780602404 🙏

SANGA UMUKIZA (SWAHILI)

Uliyechoshwa sana na mambo ya dunia
Na unavyo vidonda moyoni
‘Kikutana na Yesu ataviponya vyote
Atakupa faraja, aona machozi yako.


Kutana na tabibu wa mioyo
Aondoe shida zote
Mweleze magumu yako yote
Yesu yu upande wako
Ajua upitiayo
Na mienendo yako yote
Yu tayari kukusaidia
Mfuate na utapona

Tumo katika dunia iliyojaa dhambi
Ndio maana hatuwezi epuka matatizo
Lakini ipo siku moja yote yatakoma
Watakatifu tutaishinda mautia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке