William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}

Описание к видео William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}

Mtumishi wa Mungu William Yilima aliyejulikana sana kupia album yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la UKO WAPI EE MUNGU, sasa amekuja tena na album nyingine inayojulikana kwa jina la Hii siyo ndoto yangu, itapatikana katika channel hii ya #MHUBIRIPRODUCTION, usikose kutufuatilia na ku subscribe bila kusahau kubonyeza alama ya kengele ili kupata ujumbe mfupi pindi tu zinapoingia. Hairuhusiwi kwa mtu yeyote ku upload katika channel yake na atakaefanya hivyo atakutana na copyright trike na hapo haitakuwa juu yetu tena. #hiisiyondotoyangu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке