Kilimo Biashara | Anthony Muigai anatumia kinyesi kwa ukulima wa kuunda gesi

Описание к видео Kilimo Biashara | Anthony Muigai anatumia kinyesi kwa ukulima wa kuunda gesi

Ufugaji wa kuku umeigwa na wengi walio na ari ya kujinufaisha kutokana na ufugaji huku mbinu mbalimbali za kuimarisha mazao zikibuniwa. Baadhi ya wakulima hawa sasa wakianza kutumia kinyesi cha kuku kuzalisha gesi itakayotumika kupata nguvu za umeme katika mashamba yao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке