Pasi za Yanga zamchanganya Mpenja, atangaza Kiingereza

Описание к видео Pasi za Yanga zamchanganya Mpenja, atangaza Kiingereza

Utamu wa soka la #Wananchi ukamnogea mtangazaji wa kandanda Baraka Mpenja na kujikuta akitangaza kabumbu kwa ‘Kimombo’ bila kujitambua.

Hizi hapa pasi za Yanga zilizomvuruga #SautiYaRadi huku Mzee wa Kazi Chafu Yannick Bangala akitia vionjo vya kipekee.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке