HISTORIA YA IMAM SHAFI (PART ONE)

Описание к видео HISTORIA YA IMAM SHAFI (PART ONE)

Tufahamu historia ya maimamu wanne (4) , haya ni madhahib manne ya ahlu sunna wal jama'a katika fiq-hi na pia hawakuikhtalifiana katika usul bali waliikhtalifiana katika furuy. Hii ni historia ya Imam Shafi (Part One). Cameraman Kutoka Al Hijra Video Production Nabil Ally

Комментарии

Информация по комментариям в разработке