HOJA MEZANI || Uchambuzi kwa yaliojiri Mkutano wa Brics mjini Johannesburg

Описание к видео HOJA MEZANI || Uchambuzi kwa yaliojiri Mkutano wa Brics mjini Johannesburg

Viongozi wa kundi la mataifa ya Brics - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini - wamekutana tarehe 22 Agosti mjini Johannesburg, na suala kuu litakuwa ikiwa ni kukubali wanachama wapya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке