Yanga SC 1-3 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 07/01/2024

Описание к видео Yanga SC 1-3 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 07/01/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya robo fainali kati ya Yanga SC dhidi ya APR FC.

Matokeo ni APR kuifunga Yanga SC 3-1

Magoli yamefungwa na Soulei Sanda, Mbaoma Victor na Sharaf Eldin Shaiboub kwa upande wa APR.

Goli la Yanga limefungwa na Jesus Moloko

Комментарии

Информация по комментариям в разработке