Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa.

  • MKULIMA SMART TV
  • 2021-07-10
  • 25463
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa.
  • ok logo

Скачать UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:Jua mbinu mbalimbali za kuongeza uzalishaji wa maziwa.

Jinsi ya kumlisha n’gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi
Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu.
Malisho ya ng’ombe wa maziwa ni lazima yawe na uwiano sahihi wa viungo. Mifugo inahitaji chakula kitakachowapa nguvu, protini, madini, na vitamin ili kujenga miili yao, kuzalisha maziwa, na kuzaliana.
Kulisha ng’ombe wa maziwa kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa na afya nzuri na kutoa maziwa ya kutosha. Kama ilivyo kwa mifugo mingine kama kuku na hata binadamu, ng’ombe anahitaji
mlo bora yaani kamili.
Vyakula vinavyohitajika kwa ng’ombe wa maziwa
Malisho ya kijani (Majani)
Huu ni mlo mkuu kwa ng’ombe wa maziwa. Mlo ni muhimu na wenye virutubisho. Lakini malisho bora ya kijani ni yale yanayoweza kumpatia ng’ombe wa maziwa virutubisho muhimu vinavyohitajika.
Malisho ya kijani yanatakiwa yawe ya kijani kibichi na machanga, hii ina maana kuwa, majani ya malisho ni lazima yakatwe na kuhifadhiwa yakiwa bado machanga na kabla ya kuchanua. Hii ina maana kuwa mimea ambayo imepoteza rangi yake halisi ya kijani inaweza tu kuwasaidia mifugo kuishi lakini haina virutubisho muhimu vya kuwapa mifugo nguvu, madini, protini na haiwezi kusaidia katika uzalishaji wa maziwa.
Malisho yenye viwango vya chini vya virutubisho yanatakiwa yaongezewe kwa chakula cha ziada chenye virutubisho vya kutosha kitakachoziba pengo la virutubisho vilivyokosekana.
Vyakula vya kutia nguvu
Kwa kawaida aina zote za majani ni chanzo kizuri cha vyakula vya kutia nguvu kwa mifugo, kama tuu tu yatalishwa yakiwa bado machanga.
Mfano wa Majani yaliyo maarufu kwa malisho ni matete, ukoka, majani ya tembo, seteria na Guatemala. Majani ya mahindi au mtama ni chakula kizuri sana kwa kuwapa nguvu mifugo.
Vyakula vingine vinaweza kutokana na aina zote za nafaka, punje za ngano, au molasesi.
Vyakula hivi vya kutia nguvu vinatakiwa vilishwe kwa kiasi kidogo.
Vyakula vya Protini
Mimea michanga ina kiasi kikubwa cha protini kuliko mimea iliyokomaa. Mahindi machanga pamoja na majani ya viazi vitamu ni mahususi kwa protini.
Mikunde ina protini nyingi zaidi kuliko nyasi. Mfano, mabaki ya majani ya maharage, njegere, desmodium na lusina. Majani yanayotokana na mimea kama lusina, calliandra au sesbania ina kiwango kikubwa cha protini pia.
bei ya ng'ombe wa maziwa 2020 tanzania
bei ya ng'ombe wa maziwa 2021
aina za ng'ombe wa maziwa
mchanganuo wa biashara ya ng ombe wa maziwa
bei ya ng'ombe wa maziwa 2020
mabanda bora ya ng'ombe wa maziwa
madini ya ng ombe wa maziwa
ufugaji wa ng'ombe wa maziwa jamii forum

#mkulimasmart
#shambadarasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • ZIZI LA NG'OMBE- BARAKA AGRICULTURAL COLLEGE || AKILI SHAMBANI
    ZIZI LA NG'OMBE- BARAKA AGRICULTURAL COLLEGE || AKILI SHAMBANI
    1 год назад
  • Ufugaji wa kisasa wa ng'ombe wa maziwa  kijiji Wilaya ya Mufindi.
    Ufugaji wa kisasa wa ng'ombe wa maziwa kijiji Wilaya ya Mufindi.
    2 года назад
  • Rekor yumurta 30 adet felç kalan tavuk
    Rekor yumurta 30 adet felç kalan tavuk
    8 часов назад
  • Ад на Ближнем Востоке
    Ад на Ближнем Востоке
    4 часа назад
  • Ninatengeneza Tsh. 420,000/= Mpaka 500,000/=
    Ninatengeneza Tsh. 420,000/= Mpaka 500,000/=
    1 год назад
  • IFAHAMU KAMPUNI YA MBEGU ZA MAJANI YA MIFUGO NCHINI AMBAYO UNAWEZA KUNUNUA KUOTESHA  KWA MALISHO
    IFAHAMU KAMPUNI YA MBEGU ZA MAJANI YA MIFUGO NCHINI AMBAYO UNAWEZA KUNUNUA KUOTESHA KWA MALISHO
    2 года назад
  • HUU NDIO UTOFAUTI  WA MITAMBA NA MBUGUMA KAMA UNATAKA KUFUGA NG'OMBE WA MAZIWA KWA MANUFAA MAKUBWA.
    HUU NDIO UTOFAUTI WA MITAMBA NA MBUGUMA KAMA UNATAKA KUFUGA NG'OMBE WA MAZIWA KWA MANUFAA MAKUBWA.
    11 месяцев назад
  • UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA   YA NG'OMBEPDF
    UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA YA NG'OMBEPDF
    6 лет назад
  • SIMULIZI YA MFUGAJI ALIYEPATIWA NG’OMBE WA LITA 45 ZA MAZIWA KWA SIKU NA TADB
    SIMULIZI YA MFUGAJI ALIYEPATIWA NG’OMBE WA LITA 45 ZA MAZIWA KWA SIKU NA TADB
    8 месяцев назад
  • VIJANA WANAVYOPIGA HELA BIASHARA YA NYAMA NG'OMBE
    VIJANA WANAVYOPIGA HELA BIASHARA YA NYAMA NG'OMBE
    9 месяцев назад
  • NG'OMBE GHALI ANAUZWA MILIONI 30, AMENONA, ANA KILO 970, MBEGU ZAKE DILI KUBWA, MMILIKI ANAO 76
    NG'OMBE GHALI ANAUZWA MILIONI 30, AMENONA, ANA KILO 970, MBEGU ZAKE DILI KUBWA, MMILIKI ANAO 76
    6 месяцев назад
  • Лидер Ирана Аятолла Хаменини погиб? / Иран наносит удары
    Лидер Ирана Аятолла Хаменини погиб? / Иран наносит удары
    7 часов назад
  • UFUGAJI NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA, MAELEZO YA MUHIMU KUTOKA KWA DAKTARI WA MIFUGO | KilimoPro
    UFUGAJI NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA, MAELEZO YA MUHIMU KUTOKA KWA DAKTARI WA MIFUGO | KilimoPro
    1 год назад
  • Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Mzee Anapata Maziwa Lita zaidi ya 200 kila siku.
    Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Mzee Anapata Maziwa Lita zaidi ya 200 kila siku.
    3 года назад
  • Mchanganyo huu kwa Ng'ombe wa maziwa utakushangaza!!
    Mchanganyo huu kwa Ng'ombe wa maziwa utakushangaza!!
    1 год назад
  • Unataka Kufuga Ng’ombe wa Maziwa? Hizi Ndizo Siri za Mafanikio! 🚀🐄
    Unataka Kufuga Ng’ombe wa Maziwa? Hizi Ndizo Siri za Mafanikio! 🚀🐄
    11 месяцев назад
  • UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA.NJIA TANO ZA KULEA NDAMA WA NG'OMBE WA MAZIWA.
    UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA.NJIA TANO ZA KULEA NDAMA WA NG'OMBE WA MAZIWA.
    4 года назад
  • KWA MATUNZO SAHIHI AINA HII YA NG'OMBE WA MAZIWA WANAWEZA KUTOA MAZIWA MBAKA LITA 40+ KWA SIKU.
    KWA MATUNZO SAHIHI AINA HII YA NG'OMBE WA MAZIWA WANAWEZA KUTOA MAZIWA MBAKA LITA 40+ KWA SIKU.
    5 месяцев назад
  • TAJIRIKA KWA KUFUGA NG'OMBE MAZIWA I TENGENEZA MILIONI KWA KUUZA MAZIWA
    TAJIRIKA KWA KUFUGA NG'OMBE MAZIWA I TENGENEZA MILIONI KWA KUUZA MAZIWA
    2 месяца назад
  • Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)
    Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)
    1 год назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com