Annoint Amani-Full Album Volume 3 fainal ni Kesho 12 Songs (official audios 2020:21:2022)

Описание к видео Annoint Amani-Full Album Volume 3 fainal ni Kesho 12 Songs (official audios 2020:21:2022)

Ninaamini hutabaki kama ulivyo,
baada ya kuskiriza album nzima iliyo beba neno limfaalo kila mtu kwa wakat wake,Sawasawa na Mungu amjuavyo..

MIMI SJUI KUIMBA KABISA MUIMBAJI NI YESU NDANI YANGU,
TENA MIMI S MJUAJI KABISA KWA MAMBO YA DUNIA HII,
BALI NINA UFAHAM MWING KATIKA KRISTO YESU ,

LENGO LANGU NIKUHUBIRI INJILI WATU WAMRUDIE MUNGU ,ILI WAPATIKANE WATENDA KAZI WENG SHAMBANI MWAKE ,,
MIMI SINA JINA KABISA,
BALI LIPO JINA MOJA TULIO PEWA ILI KUOKOLEWA KWA HILO,
NALO NI JINA LA YESU.

HIVYO NINAITAJI MAOMBI YA KILA MTEULE ILI NIMALIZE MWENDO SALAMA YANI MWISHO MZURI WENYE USHUHUDA.

I believe you will not remain as you are,
after listening to the whole album that carries a word that suits everyone in its time, just as God knows.

I DON'T KNOW SINGING EXACTLY THE SINGER IS JESUS ​​IN ME,
AGAIN I AM THE MOST EXPERIENCED TO THE THINGS OF THIS WORLD,
BUT I HAVE MUCH UNDERSTANDING IN CHRIST JESUS,

MY PURPOSE IS TO PREACH THE GOSPEL TO THE PEOPLE TO RETURN TO GOD, SO THAT THEY CAN BE FOUND WORKERS IN HIS FIELD ,,
I HAVE NO NAME AT ALL,
BUT THERE IS ONE NAME GIVEN TO US TO BE SAVED,
IT IS ALSO THE NAME OF JESUS.


(So Pray for my ministry to end with God)


(artist Annoint Amani
language Swahili
East afrika Tanzania

Studio A.E.A Tones
annoint amani bookng
[email protected]
+255767240181=+255755099942)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке