"Kama Mbaya...Mbaya!" wandani wa naibu rais Rigathi Gachagua wamtetea

Описание к видео "Kama Mbaya...Mbaya!" wandani wa naibu rais Rigathi Gachagua wamtetea

"Kama Mbaya....Mbaya"
Wandani Wa Naibu Rais Rigathi Gachagua Wamemtetea
Wamesema Hawatakubali Naibu Rais Kudhalilishwa
Naibu Rais Alikuwa Hajaonekana Hadharani Kwa Muda
Kuna Ripoti Za Mfarakano Kati Ya Rais Na Naibu Rais
Baadhi Ya Wanasiasa Wapuuza Tetesi Za Mfarakano Huu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке