WAANDISHI WETU WA VITABU TANZANIA

Описание к видео WAANDISHI WETU WA VITABU TANZANIA

Hawa ni baadhi ya waandishi wetu wa vitabu tanzania. Je, ni yupi anayekugusa au unamkubali zaidi katika waandishi wetu wa vitabu nyumbani Tanzania katika kazi zao ambaye wewe umesoma kazi zake?
.
Kuna mambo mengi ya kuzungumzia kuhusu umuhimu wa kusoma vitabu. Na tanzania tumebarikiwa sana kuwa na waandishi wazuri wa vitabu japo wengi hawafahamiki sana kutokana na utamaduni huu kuwa unawekwa sana kushoto na baadhi ya watu, pia waandishi wetu wengi hawapati kutangazwa vya kutosha na vyombo vyetu vya habari ukilinganisha na wasanii wa wasanaa nyingine ambazo huenda ndio zinachangia pia kubomoa maadili ya vijana wetu wengi.
.
Sasa leo nimeamua kukusanya baadhi ya vitabu vya waandishi wetu nilivyonavyo ili nikukumbushe kama utakuwa umewasahau na pia nikukumbushe kuwa-sapoti kwa kununua kazi zao leo hii, tafadhali sapoti waandishi wa nyumbani Tanzania
.
Kwa mwandishi ambaye wewe utampenda na kazi yake tafadhali nitumie ujumbe andika "JINA LA KITABU na JINA LA MWANDISHI" tuma ujumbe kwenda namba: 0759191076 Nitakutumia utaratibu wa kupatikana kwa kitabu chake mahali ulipo.
Each One Teach One! Karibu sana.

CHAPTERS:
00:00 Mwanzo
02:58 Wadhamini (Alrahmah Schools)
06:02 Elimu Ya Msingi Ya Fedha - Dr. Makirita Amani
06:29 Elimu Ya Msingi Ya Biashara - Dr. Makirita Amani
06:44 Epuka Utumwa Wa Kidigitali - Dr. Makirita Amani
07:25 Una Nguvu Ya Kutenda Miujiza - Dr. Makirita Amani
08:13 Maisha Ya Mafanikio - Dr. Makirita Amani
09:05 Kanuni 26 Za Mafanikio - Coach Bassanga
09:43 The Art Of Public Speaking - Rodrick Nabe
11:14 Neno Langu - Dina Marios
11:50 Mwanafunzi Wa Kiafrika - Justine Kakoko
12:35 Mfundishe Mtoto Wako Kuishi - Justine Kakoko
13:21 Mwongozo Wa Mafanikio - Lazaro Samuel
14:17 Safari Kufikia Shauku Yangu - Selina Condrad
15:09 Kitanda Cha Kuwadi - Maundu Mwingizi
15:35 Siku 30 Za Kukua - Ukundi Mlelwa
16:09 Vitabu vya Ernest Boniface Makulilo (EBM)
17:29 The Power Of Choice - Dr. George Adriano
18:07 Inflammable Mindset - Gilda Given
19:19 Why Not Today - Dr. George Adriano
20:02 Vitabu Vya Denis Mpagaze
20:58 Deni La Dhahabu - Gastor Mtweve
21:26 The Art Of Effective Public Speaking - Ejaz Bhalloo
21:54 Maadui 10 Wa Mwanamke - Petrida Karch
22:33 Hisa Fursa Ya Uwekezaji - Sylivester Herman
23:10 Wewe Ni Mteule - Abel Ngeleja
24:20 Mimi Na Rais - Lelo Mmassy
25:36 NOFO Books (Vitabu Vya Watoto)
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
Website: www.swahilivoiceovers.com
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
   / hamasayaleo  
.
JE WAJUA?👇🏽
   / @youtubepesa255  
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
   / @footballskill01  
.
VOICE-OVER WEBSITE 👇🏽
http://swahilivoiceover.com
.
KUJIUNGA GROUP LA VITABU:
- Pata faida za kwenye vitabu kila wiki.
- Jifunze kwa audio zenye quality nzuri.
- Kama huna muda wa kusoma "jiunge fasta"
Tuma ujumbe huu "SPN BOOK CLUB"
Kwenda whatsApp No. 0759 191 076
Ada ya group hili: 2,000 TZS kwa wiki.
.
KUPATA MATANGAZO:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: [email protected]
.
SPONSOR'S DETAILS:
AL-RAHMAH SCHOOLS
Tunapatikana Mkuranga mkoa wa Pwani, Karibu na shule ya msingi Ngunguti, kilomita moja na nusu (1.5 Km) kutoka barabara ya Kilwa. Vilevile ni kilomita Sitini tu (60 Km) kutoka Dar-Es-Salaam.
Bonyenza Link hii kuona location yetu katika Google Maps
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://maps.app.goo.gl/msnpyRnsBXYts...
.
☎️ WASILIANA NASI
👉🏽 Al-Rahmah Pre & Primary School:
📞 +255 677 330 099
.
👉🏽 Al-Rahmah Secondary School:
📞 +255 677 990 033
.
👉🏽 Al-Rahmah Development Complex:
📞 +255 673 526 644
.
Facebook:
  / alrahmahcomplextz  
Instagram:
https://instagram.com/alrahmahschools...
AL-RAHMAH SCHOOLS, "Always The Best"
.
#waandishi #vitabu #Tanzania

Комментарии

Информация по комментариям в разработке